horror

  1. Best Daddy

    Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  2. Mad Max

    Human Centipede (2009): Hii Horror Movie hapana!

    Kama una bando tafuta hii kitu. Maproducer na Madirekta wa kizungu wanawaza vitu vya ajabu sana.
  3. Mad Max

    Horror Movies 100+ za kuanza nazo

    Kama una bando la kutosha, anza mdogo mdogo. Futa ambazo tayari. Halloween Halloween 2 Halloween 3 Halloween 4 Halloween 5 Halloween: The Curse of Michael Myers Halloween H20 Halloween: Resurrection Halloween (2007) Halloween 2 (2009) Halloween (2018) Halloween Kills Halloween Ends Friday the...
  4. W

    Movie ipi ya 'Horror' kali zaidi?

    Movie hizi mbili 'Wrong Turn' na 'Saw' zinaoneshwa katika vyumba viwili tofauti. Mpenzi wa 'Horror Movies' Utaingia wapi?
  5. Mad Max

    Wazee wa Horror Movies: Trauma 2017

    Nisiwe msemaji sana. Kama wewe mdau wa Horror, hii gem nimeiotea leo inaitwa Trauma ya 2017. Mademu wanne walienda vacation weekend porini kwenye nyumba flani. Kula sana bata. Bwana si wakavamiwa na mtu na baba ake, wakiwa na siraha. Wakarape, piga brutally, hadi wanakula nyama zao wakiwa...
  6. Quavohucho

    coded and horror photos thread!!!

    thread maalumu kwa ajili ya horror photo za kusisumua na za zenye ujumbe
  7. koba lee

    Mwenye jina la series yoyote ya kutisha (Horror) ya kuanzia 2019

    Wakuu kwema? Twende kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa horror movies tatizo za movie ni kwamba unaangalia dakika 90 mzigo umekata, sasa nataka series zile za kukesha nazo ambazo zinatisha. Nahitaji angalau ambazo zimetoka kuanzia mwaka 2019 na kuendelea. Nilizobahatika kuangalia mpaka leo na...
  8. Jidu La Mabambasi

    Mkasa wa David Musyoka ni pure horror movie!

    David Musyoka ni Dereva wa Halmashauri huko Kenya, Kitui County. Siku kaamka vizuri tu na kaenda kazini, akatumwa sehemu kikazi naye kama kwaida kawasha gari akaingia barabarani. Mara akiwa barabarani anaendesha akaona watu wanashangaa ndege tai kashika nyoka. Yule ndege tai akamwachia nyoka...
  9. Mkogoti

    Horror movie!

    Uzi huu kwa ajili ya kutaja character wa movie yoyote ile aliekuwa anafanya mauaji! Bila kosa lolote, yani yeye anamvizia mmoja mmoja anaua! Mimi naanza kuna Jason yeye movie zake ni za Friday 13! Harafu kuna Michael Myers mzee wa kisu anaua huyo balaaa! Ebu tiririka tuone character wako...
  10. H

    Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

    Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake. Script writer wa hii...
Back
Top Bottom