Binafsi nilitembelea hospitali ya Muhimbili jana, nikiwa nimeenda pale Institute ya Jakaya Kikwete, nikakuta hamna parking kabisa nikaelekezwa kupaki upande wa clinic ya watoto. Na kufika upande huo nikakuta parking zilizopembeni ya jengo zote ni za staff, sisi wengine tunapaki nyuma huko karibu...