Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai Hospitali ya Rufaa ya Iringa inalipisha Huduma ya Vyoo, Afisa Habari wa Taasisi hiyo, Zainab Mlimbila amesema wana Huduma ya Vyoo kwa ajili ya Wagonjwa waliolazwa na vipo vya Wagonjwa wa Nje na watu wengine na kuwa vyote ni bure.
Kusoma hoja ya Mdau bofya...
Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia.
Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana. Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji.
Kusoma majibu ya hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.