Hospitali ya TIBA (zamanı TUMAINI) iliopo Upanga jirani na Diamond Jubilee haichukui wagonjwa wanaotumia bima ya NHIF wiki moja sasa.
Wagonjwa wanarudishwa nyumbani na wengine wanaambiwa walipe cash. Waliokuwa hawana huduma zimesitishwa.
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu tunaomba waingilie kati...
Anonymous
Thread
bima nhifhospitalikukataawagonjwawanhifhospitali ya tiba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.