Kama mada inavyonieleza
Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana
Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha damu
Suala la kuwatoa wagonjwa kwenye mfumo baada ya kumaliza matibabu nalo ni kero wahudumu...
Leo ukipelekwa Bugando umevunjika mfupa utapigwa ganzi na kufungwa mawe halafu unamsubiri daktari saa nyingine inazidi hata mwezi kumpata daktari kufanya operation.
Japo ajali haina kinga lakini inauma sana kukaa wodini mwezi sababu ulikuwa na mbwembwe barabarani.
Kama hauna milioni tatu...
Ndugu zangu, kama umewahi kupeleka mtu yeyote mgonjwa utaniambia hiki nilichoona mimi ni sawa ama si sawa. Nilisindikiza rafiki yangu mwaka Juzi aliuguliwa mtoto mgongo wazi kufika pale ikawa huduma mbovu huduma hadi umpatie rushwa daktari ndio ahudumiwe, bahati mbaya sana mtoto akafariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.