Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za hospitali, ndipo nikapatiwa dawa.
Mnaweza mkawa mpo kwenye foleni na hakuna anayejali, utakuta mtu...