hospitali ya kitete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Hospitali ya Kitete (Tabora) yasema inafanyia kazi changamoto ya kukosekana kwa Vifungashio vya Dawa

    Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wasilisho kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya dawa na hivyo inakuwa kero kubwa kwa wanaoenda kupokea kwa kuwa zinakuwa hatarini kuharibika. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio...
  2. A

    KERO Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio vya kubebea dawa

    Tunaomba msaada , hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora haaina huduma ya VIFUNGASHIO kwa ajili ya kubebea dawa, mgonjwa akipewa dawa analazimika kubeba mikononi au kwenye mabox kitu ambacho kinahatarisha dawa kuanguka na kupasuka..!! Mtu anaweza nunua dawa hadi za elfu 50, lakini akakosa...
Back
Top Bottom