Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi.
Lakin jambo la kushangaza ukienda kwenye vyumba vya manesi unakuta kuna heater za joto ambazo zinafanya mtu ujiskie vizuri
Swali langu. Kwanini Uongozi wa Meta hospital wasiweke heater...