hospitali ya muhimbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    DOKEZO Huu utaratibu wa kuzuia maiti Hospitali ya Muhimbili kisa nduguze wanadaiwa hela ya matibabu utazamwe vizuri

    Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje kwa hili.
  2. A

    DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  3. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama: Huduma Zaidi ya 35 za Kibobezi Zinapatikana Muhimbili

    JENISTA MHAGAMA: HUDUMA ZAIDI YA 35 ZA KIBOBEZI ZINAPATIKANA MUHIMBILI Na WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji wa huduma za Ubingwa Bobezi zaidi ya 35 katika Hospitali ya Taifa Muhimbilli (Mloganzira na Upanga)...
  4. A

    KERO Dada yangu amefariki kwa kuishiwa Oxygen baada ya Muhimbili kufosi kumpeleka Mloganzila

    Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam. Wakati tunaelekea Muhimbili tukapita Hindu Mandal kwa kuwa kuna Daktari ambaye pia...
  5. A

    KERO Kama Muhimbili wamebadili ratiba ya kuona wagonjwa waseme. Wanatupa usumbufu mkubwa tunaotoka maeneo ya mbali

    Habarini JamiiForums, Nawaailisha kero yangu kwenu iwafikie Hospitali ya Muhimbili, wanachotufanyia tunaokuja kuona wagonjwa si uungwana. Juzi July 10, 2024 nilikwenda kuona mgonjwa nikiwa nimeambatana na baadhi ya ndugu, kufika pale tukakatiliwa kuona wagonjwa tukiambiwa ndugu waliokwenda...
  6. The Palm Beach

    Mwananchi aliyefiwa mtoto wake Muhimbili adaiwa kutakiwa kulipia Tsh. 10,695,000 ili kuikomboa maiti

    Nisiseme mengi, mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa Sera ya Afya ya CCM na makandokando yake katika sekta na huduma za kiafya hapa nchini. Hayo chini ndio maelezo ya ushuhuda wake aliyotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake ili...
  7. Erythrocyte

    Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

    Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi? Au mimi kuna kitu sielewi?
  8. Roving Journalist

    Hospitali ya Muhimbili yatoa ufafanuzi kuhusu kero ya ucheleweshwaji wa utoaji wa Medical Report

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa kutoa Ripoti ya Matibabu (Medical Report) kwa Mgonjwa licha ya kuwa inalipiwa Tsh. 100,000 kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akidai kuwa zamani ripoti hiyo ilikuwa bure, Uongozi wa Muhimbili umetoa majibu. Mdau amedai kuwa...
  9. I

    Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk. Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
  10. JanguKamaJangu

    Madaktari Wazawa waendelea kupandikiza figo Hospitali ya Muhimbili, njia ya matundu madogo kutumika

    Madaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia mfumo wa matundu madogo. Akizungumza na...
  11. Roving Journalist

    Lugha ya alama yajumuishwa kwenye utoaji huduma Hospitali ya Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imejumuisha lugha ya alama ili kutoa usaidizi kwa wagonjwa wenye tatizo la kusikia ili kuwaondolea changamoto za mawasiliano wakati wa kupata huduma za matibabu hospitalini hapa. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Masikio, Pua na Koo, Dkt. Aslam Nkya uamuzi huo...
  12. K

    Ni nani aliyeanzisha biashara ya parking Muhimbili?

    Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI? Pesa inayopatikana inamnufaisha nani? Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu? Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
  13. Roving Journalist

    Hospitali ya Muhimbili yaongoza kitaifa kwa utoaji taarifa za madhara yatokanayo na dawa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeongoza kitaifa kwa 57% katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye utoaji taarifa za madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kati ya taarifa zote zilizopokelewa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwa miaka ya fedha ya 2020/21, 2021/22 na 2022/23...
  14. Roving Journalist

    Mifuko ya Plastiki yapigwa marufuku Hospitali ya Muhimbili

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo...
  15. T

    Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila wameanzisha huduma ya upasuaji ya kurekebisha baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili (plastic surgery). Baadhi ya aina za upasuaji ambazo zitakua zikitokewa hospitalini hapo ni pamoja na kuongeza/kupunguza matiti, kuongeza hips, kuongeza makalio...
  16. Jaji Mfawidhi

    Wanaopaki magari Hospitali ya Muhimbili kuanza kulipia

    Wanaopaki magari muhimbili kuanza kulipia 5.4.2023 WANAOPAKI magari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili watalazimika kulipia ili kuondoka changamoto ya msongamano wa vyombo vya usafiri vinavyoingia hospitali hapo. Profesa Mohamed Janabi. Mkurugenzi Mtendaji Hospitali hiyo, Profesa Mohamed...
  17. ChatGPT

    Kuwa Mama Bila Kupata Mimba | Baba Bila ya Mama Mjamzito

    Unaifahamu Surrogacy? Surrogacy, au uchukuzi wa mimba, ni njia ya kusaidia wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida. Njia hii inahusisha mama mbadala ambaye huzaa mtoto kwa niaba ya mwanamke na mwanaume fulani (wanandoa hao). Kuna aina mbili za surrogacy: "traditional...
  18. John Haramba

    Takwimu zaonesha kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa kupooza

    Mara baada ya kuelezwa kuwa Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es Salaam imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza ndani yam waka mmoja imeelezwa kuwa moja ya sababu kubwa inayochangia hali hiyo ni aina ya maisha ambayo watu wanaishi kwa miaka ya hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  19. kavulata

    Ningekuwa na dhamana, nyumba za Magomeni Kota wangeishi wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili na Magomeni

    Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali. Wafanyakazi kazi wa Muhimbili pale wanaishi mbali sana, wanatoka na kurudi usiku sana kutoka na kufika...
  20. John Haramba

    Hospitali ya Muhimbili waunda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto

    "Hospital ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Shirika la Tumaini la Maisha inaratibu upatikanaji wa dawa na kuzifikisha kwenye hospitali zinazounda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto," hayo yamesemwa na Dkt. Rehema Laiti, Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kwa Watoto Muhimbili. Anaendelea...
Back
Top Bottom