Watumishi wa Afya akiwemo Daktari Mbobevu, Maafisa Wauguzi na Wateknolojia wa Maabara wanaidai Hospital ya Rufaa Peramiho iliyopo mkoani Ruvuma mishahara yao ya mwezi Septemba.
Kama chombo cha habari Tunaomba kusaidia kupaza sauti na kulifuatilia hili kabla watumishi hawa hawajaleta athari kwa...
Wafanyakazi wa Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho iliyopo Songea mkoani Ruvuma wakiwemo wauguzi na wafamasia wametishia kuishtaki hospitali hiyo kwa madai ya kutokulipwa mishahara yao ya mwezi mmoja.
Hii inatokana na Hospitali hiyo kudai kuyaona majina ya maombi ya ajira za Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.