Watumishi wa Afya akiwemo Daktari Mbobevu, Maafisa Wauguzi na Wateknolojia wa Maabara wanaidai Hospital ya Rufaa Peramiho iliyopo mkoani Ruvuma mishahara yao ya mwezi Septemba.
Kama chombo cha habari Tunaomba kusaidia kupaza sauti na kulifuatilia hili kabla watumishi hawa hawajaleta athari kwa...