hospitali ya taifa muhimbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Serikali kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya kwa Trilioni 1.2

    Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya, ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu USD .468 Mil (takribani TZS. 1.2 Trilioni), ambapo kati ya fedha hizo USD.364 Mil...
  2. Chance ndoto

    KULIPA PARKING WAKATI WA KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

    Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale. Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu...
  3. Roving Journalist

     Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa ufafanuzi hoja ya Mdau kuhusu "Huduma zake ni janga kwa Wagonjwa"

    Baada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini: ~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
  4. MAKANGEMBUZI

    DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

    Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze...
  5. Sir John Roberts

    KERO Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) Madaktari wanafunzi ni Janga. Watu wanakufa kwa uzembe

    Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi. Nimeshuhudia mgonjwa wangu akiambiwa hana tatizo lolote la nyonga baada ya kumpeleka akiwa amepata ajali na...
  6. X men

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report

    MUHIMBILI NA URASIMU WA MEDICAL REPORT. Nimekuwa nikiuguza mgonjwa wodini pale Jengo la Watoto Hospitali ya Muhimbili kwa vipindi tofauti tofauti, ilikuwa kuomba Medical Report ni bure, lakini kuanzia Prof. Janabi alipoingia kupata Medical report ya mgonjwa ni lazima ulipie Laki moja (Tsh...
  7. A

    DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  8. Roving Journalist

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yawezesha uanzishwaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu Kigoma RRH

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dkt. Jesca Leba ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuwezesha upatikanaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma - Maweni. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba - MNH, Dkt. John Rwegasha Dkt. Jesca ambaye...
  9. Diversity

    NADHARIA Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini mpaka sasa haijawekwa na kuna taarifa kuwa baadhi wamepoteza maisha kutokana na kukosa huduma hiyo.
  10. BARD AI

    Polisi, Mahakama, Hospitali ya Taifa Muhimbili zina viashiria vya Uvunjifu wa Maadili

    Serikali imetaja taasisi za Polisi, Mahakama na Muhimbili kwamba zinaongoza kwa viashiria vya uvunjifu wa maadili nchini hivyo akaomba viongozi wakutane na kujadili kwa nini taasisi nyeti kama hizo zinatajwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  11. Super Handsome

    36 wajitokeza kuuza figo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa ripoti ya takwimu zinazoonesha kupokea maombi ya wananchi 36 walioomba utaratibu wa kuuza figo zao ili kukabiliana na ugumu wa maisha. Takwimu hiyo imetolewa jana wakati wa maadhimisho ya siku ya kukabiliana na ugonjwa wa Figo duniani. Awali, Ofisa Ustawi wa...
  12. amu

    TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo. Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba upo Tegeta . Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya...
  13. Nyendo

    TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki jioni hii alipokimbizwa Hospitali Muhimbili kwa matibabu ya dharula ( Emergency) Msiba utakuwa Mwenge kwa Babu yake na mazishi ni kesho. ==== Alichowahi kuandika Malcom: (Masoud Kipanya Story of my life) My name is Malcolm...
  14. Miss Zomboko

    Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa mimba (IVF)

    Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo. Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
Back
Top Bottom