hospitali

Stenoma hospitalis is a moth of the family Depressariidae. It is found in Rio de Janeiro, Brazil.The wingspan is about 29 mm. The forewings are whitish ochreous with the costal edge dark fuscous towards the base. The plical and first discal stigmata are small and ferruginous brown, the plical obliquely posterior. There are two small dark fuscous dots transversely placed on the end of the cell and there is a triangular ferruginous-brown spot on the costa somewhat beyond the middle, and a more elongate one towards the apex. A series of small ferruginous-brown dots is found from the first costal spot strongly curved around beyond the cell, then to two-thirds of the dorsum, and a curved series from the second costal spot to the dorsum before the tornus. There are also some minute marginal dots around the apex and termen. The hindwings are ochreous whitish.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge wa Kigamboni aahidi kulifanyia kazi suala la uchafu na uchakavu wa vyoo vya Hospitali ya Vijibweni

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na pia miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa miezi mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na...
  2. Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  3. I

    Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk. Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
  4. A

    DOKEZO Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ni vichafu na vimechoka kuliko maelezo

    Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ndani ya Dar es Salaam kuna kero ya vyoo ambayo ni hatari kwa watumiaji. Vyoo hivyo vya ni vichafu kwa ndani, vinanuka harufu kali mno kuna uchakavu mwingi pia sasa ni zaidi ya miezi mitatu hakuna taa za chooni na chache zilizopo haziwaki, kila nikienda hapo...
  5. Hospitali ya KKT Nyakato Mwanza inakera kubambika gharama kubwa kwa wanaojifungua

    Habari zenu wapendwa. Nina kero niliyokutana nayo hivi karibuni katika hospitali ya KKKT Nyakato Mwanza baada ya kumpeleka mgonjwa wangu kujifungua. Awali tulipoanza cliniki walitupokea vizuri na kwa ushawishi mkubwa sana kuwa garama zao za kujifungua kwa njia ya kawaida ni Tshs. 56,500 huku...
  6. A

    DOKEZO Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo kuna uonevu mkubwa kwa watumiaji wa Bima

    Mapema jana(Novemba 30, 2023), wagonjwa tuliokuja hapa hospitalini kutibiwa tulikutana na kadhia ya kutukanwa na muhudumu aliyekuwa chumba cha wagonjwa wa nje(OPD) wanaotibiwa kwa bima. Mhudumu huyo alituweka benchi tangu saa tatu asubuhi Hadi saa kumi na nusu jioni aliporudi akatuambia muda...
  7. A

    DOKEZO Huduma mbovu Hospitali ya Rufaa Ligula - Mtwara

    Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭. Mtandao wao...
  8. C

    Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

    Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF). Mbarikiwe
  9. Israel wakamata wakuu wa hospitali ya Shifa, watolee maelezo kuhusu handaki lililogunduliwa humo

    Haiwezekani handaki lililogunduliwa la mita 55 liwe chini ya hospitali bila wao kujua na muda wote walikua wanakana halipo, watahojiwa zaidi. ====================== The director of Shifa Hospital in Gaza City was arrested by Israeli forces on Thursday morning, and taken for questioning by the...
  10. Hivi Huduma za Afya za Bure kwa Wazee zinatolewa kwenye Hospitali gani? Mbona kila napoenda nakuta Wazee wanalipishwa tu

    Licha ya Serikali kutoa maelezo kuwa Huduma za Afya kwa Wazee zinatolewa Bure kwenye Vituo vya Afya, uhalisia katika utekelezaji wake umekuwa haueleweki na hivyo, kusababisha kero kwa Wazee wanaofika katika baadhi ya Vituo kupata Huduma. Mamlaka zitoe maelekezo sahihi kuhusu Huduma hizo kwa...
  11. Wanajeshi wa Israel wagundua miundo mbinu zaidi ya kigaidi chini ya hospitali ya Shifa

    Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa.... IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages., “We continue to deepen our operational activity at Shifa...
  12. Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

    Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea. IDF says it struck Hamas underground sites where senior commanders were hiding Military reveals tunnel entrance, weapons...
  13. Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

    Wanaukumbi. Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga. IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao. "Wanajeshi walipata sare za...
  14. Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  15. Ngiri inaweza kutibika kwa dawa za asili au lazima upasuaji hospitali?

    Ngiri inaweza kutibika kwa dawa za asili au lazima upasuaji hospitali na kama dawa za asili ni zipi hizo?, vipimo gani naweza kwenda pima hospitali.
  16. Hayawi hayawi huwa; Makomando wa IDF waanza kuingia kwenye hospitali, mpambano unaendelea

    Kila kitu kina mwisho wake, HAMAS waliofanya hospitali kuwa makao makuu yao ndio mwisho wao sasa, makomando wa Israel wameanza kuingia kiaina fulu mpambano....yaani movie. Israel’s military has said it was carrying out a raid against Hamas in al-Shifa hospital early on Wednesday, conducting...
  17. R

    Serikali futeni utaratibu wa kudai maiti Hospitali za Serikali

    Salaam, Shalom! Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe. Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM, Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
  18. Israel wagundua handaki la silaha chini ya hospitali ya watoto Gaza

    Ndio maana wanapaswa kupigwa popote.... ========= Hagari presented evidence showing Hamas weapons being stored underneath Rantisi children’s hospital in Gaza, as well as rooms seemingly used to hold hostages. One room staged to look like a living room featured window curtains covering a tiled...
  19. IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

    IDF wameshasema lengo lao ni viongozi wa HAMAS kwa hiyo wanawasaka popote walipo na HAMAS wameona sehemu ya kutafuta huruma kwa mataifa mengine ni kujificha kwenye miundombinu ya kutolea huduma za kijamii. Muhimu amani ipatikane
  20. Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Kwa Sasa mapigano ya IDF na Hamas yanakaribia mwisho. Eneo la Hospitali ya Al Shifa na Hospitali ya Rantisi ndio yalikuwa maeneo magumu kwenye mapambano ya Hamas na IDF. Kwenye Hospitali ya Rantisi jijini Gaza iligundulika kwamba Hamas waliwaficha raia karibia 1000 humo ndani. Baada ya mapigano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…