Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mahenga, amesema huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sionza kuridhisha, vitu vingi vina kasoro na wananchi wamekuwa wakilalamika.
Akiwa Bungeni amesema, "Hospitali imekuwa ikihudumia Wagonjwa wengi sana, hasa kutokana na kwamba idadi kubwa ya Wananchi...