Hii video hapa inaonyesha namna AI inavyosambaza dawa hospitalini.
Taaluma ya unesi itakumbwa na dhoruba. Manesi watapungua sana idadi, maana kwa kweli zaidi ya 75% manesi hutumia muda mwingi kusambaza dawa.
Ingawa kwetu huku labda 2050 ndio tutafika hatua hii.
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
Do you want to learn about the top African hospitals? What would we do if we didn't have health-care services available to us? Many observers believe that the quality of a country's hospital facilities reflects the country's entire healthcare system, and we couldn't agree more.
Pandemics with...
Failed state kwenye ubora wake.
=========
Hospitals in Kenya Have Been Injecting People With Water Instead of the Vaccine
Hannah Ritchie
A medical worker prepares to administer a dose of COVID-19 vaccine during an official launch of the vaccination drive in Nairobi. Photo: Xinhua/Charles...
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema Hospitali na Vituo vya Afya katika Mji Mkuu wa Tigray, Mekelle zinakabiliwa na changamoto ya kutibu waliojeruhiwa katika mapambano
Imeelezwa kuwa, vifaa tiba vinapungua na Hospitali kubwa zaidi Mjini humo imelazimika kusitisha huduma...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini TANAPA hawana "Mobile Zoos" kwa ajili ya kubebea wanyama pori wepesi kwa ajili ya maonesho kama ambavyo kuna Mobile ATMs, Mobile Court pamoja na Mobile Hospitals?
MWEZI FEBRUARY MWAKA 2019...
Sao Paulo, Brazil (CNN)In Brazil's largest and most badly infected city, coronavirus has yet to peak, yet already the healthcare system is crumbling visibly around us. As doctors struggle valiantly to save lives, the country's President, Jair Bolsonaro, seems more focused on another sick...
Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar.
Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
Habari wadau..
Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha Magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..
Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.