Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe. Hossein Alvandi Bahineh ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini.
Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika tarehe 15 Novemba,2024 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.