Wanafunzi wa UDOM college ya Education, wakati chuo kinafungwa kwa wiki moja tu, wanafunzi wanaobaki wanaambiwa kulipia tshs 5,200 ya hosteli ilihali malipo ya hosteli yamefanyika kwa mwaka.
Swali la kujiuliza tutalipia mara ngapi kwa mwaka? Sisi hatuelewi kabisa
Wa- mbulu na Wa -iraki wote ni ndugu!
Wakuu naomba mniombee sana Mungu anipatie uhai hadi mwakani!
Ndoto yangu ni kuwasaidia Watanzania (Hasa Vijana wenzangu) na Taifa Kwa Ujumla.Nimekaa nikiangalia namna Vijana wadogo waliopangiwa Kusoma vyuo hapa Dar es salaam namna wanavyopata taabu kupata...
Nimesikia CBE wamekuja na Template ya kuwa na Public Private Partnership kujenga Mabweni na Kujinasibu kwamba wamekuja na kitu bora na hadi kupeana zawadi ya kufanikisha hicho kitu..., Sasa najiuliza je jambo hili ni geni au lina tofauti zipi na kama tofauti zipo Je zitakuwa na tija...
Watu...
Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 55 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga. Kwa mawasiliano 0612630936
Attachments
Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 60 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga … mwenye uhitaji anicheki namba za simu 0612630936
Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana hazina hadhi ya kuwa hostel.
Baadhi ya shule kama vile Kikolo, Mkwaya,Dr.Shein,Mkoha,Matiri...
Anonymous (c630)
Thread
bubu
hostel
mbinga
sekondari
shule
shule za sekondari
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike hususan wale wanaotoka vijiji vya mbali na shule......
Mh DED MBINGA na DC kamilisha hostel hizi...
Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari.
Size ni 3x6
Mbao ni Pine na Cyprus
Bei 100,000 na godoro lake.
Location: Dar es Salaam
Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
Hope Nyerere Day inakwenda vizuri kwa wahangaikaji juani kama mimi na mliopo majumbani kama siku ya mapumziko.
Nmepita barabara ya mwenge ubungo leo,hapa mkabara na mawasiliano tower na hostel za magufuli maua haya sasa yamekuwa syo maua tena bali yamekuwa marefu kwenda juu na chini yameziba...
Nyumba inauzwa
Frem 4
Nyumba 3, Ndani
Bei: 750milioni
Document: Mirathi
Sqm: 818
Mtaa: Kibangu
Kata: Makuburi
Manispaa: Ubungo kwa sasa!
Eneo linafaa kwa matumizi yote.
Main road: mita 8
Piga simu 0712347749
Tufanye biashara....
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa...
Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4.
Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara.
So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa...
Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza...
Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana
📍 Kwa Aziz Alli
-Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000
-Master Room (Chumba na Choo Ndani) Kwanzia 100,000- 150,000
-Chumba Choo Na Jiko (Master Room na Jiko ) Kwanzia...
Wakuu habari zenu?
Nina kijana wangu wa kiume anataka kuja DAR kuanza kazi hivyo anahitaji kupata malazi/accommodation ya bei nafuu wakati akijipanga kutafuta chumba na vitu vyake.
Kazi yake ipo maeneo ya Posta hivyo anatafuta malazi yaliyo jirani na hapo au angalau apande daladala moja wakati...
Kwa UNYENYEKEVU mkubwa nawahabarisha kwamba
Hostel Vyumba 14 inapangishwa/kuuzwa
Eneo Malimbe: Mwanza Chuo Cha SAUT
Bei: Milioni 6 tshs kwa mwaka Kupangishwa / Milioni 180 tshs kuuza (mauzo yanajumuisha na nyumba ya kuishi ya vyumba 3)
Mawasiliano: 0719002081(whatsapp).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.