hosteli coict

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    KERO Msimamizi wa hosteli za COICT Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam ana kauli chafu

    Wanafunzi wa chuo Kikuu Dar Es Salaam wanaoishi COICT hostel wamekuwa wakilalamika juu ya msimamizi wao wa hostel kuwa amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kutoa kauli chafu na kutishia kuwa anakufukuza hostel na hauna utakachomfanya hivyo wanafunzi hao imebidi kuwa wapole
Back
Top Bottom