Kwenye makala hii nimekushirikisha vipengele muhimu zaidi vinavyotakiwa kwenye mkataba kati ya mmiliki na msimamizi wa hosteli.
Ninaamini kwa kuzingatia mambo utaweza kupunguza changamoto nyingi zinazohusiana na usimamizi wa majengo ya hosteli za wanafunzi wa vyuo.
Hapa kuna sheria 30...
Utangulizi.
Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo.
Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...