Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimeona services nyingi mtandaoni na nikavutiwa na jinsi mambo yanavyokwenda kasi. Kuna concept mpya imeingia (actually sio mpya sana) ambayo inaitwa SIM hosting. Yaani, unaweza ukaipa kampuni fulani SIM card yako, wakaihifadhi kwenye server zao. Baada ya malipo na...