hotel rwanda

  1. HIMARS

    Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

    Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar. Kazi kwenu ----- Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
  2. beth

    Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

    Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi. Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018. Familia ya Rusesabagina...
  3. Gama

    Rwanda: Wakili wa Paul Rusesabagina afukuzwa nchini

    Wakili wa Paul Rusesabagina, anayeelezwa kuwa shujaa katika filamu ya mwaka 2004 ya Hollywood ya Hotel Rwanda kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda" na ambaye anatuhumiwa kwa "ugaidi", amefukuzwa na mamlaka ya Rwanda Jumamosi jioni kwa "kukiuka sheria ya uhamiaji", kulingana na Mkurugenzi Mkuu wa...
Back
Top Bottom