hotuba rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Esther Matiko avutiwa na hotuba ya Rais Samia kukuza Sekta ya Usafirishaji

    Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Matiko, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu sekta ya usafirishaji imebeba dira ya mapinduzi makubwa yatakayochochea kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Amesema maboresho yanayoendelea katika Bandari...
  2. JamiiForums Tanzania "Ujana Dume wako uko wapi?" Rais Samia ahoji maswali mazito watendaji wanaokalia kimya upotoshaji unaoendelea mtandaoni

    Siku chache tangu zisambae picha mtandaoni kwamba kuna wagonjwa wanapelekwa hospitalini kwa kutumia matenga huko mkoani Ruvuma, Rais Samia jana ameamu kujibu mapigo. Akiwa anahutubia jana huko mkoani Ruvuma Samia alisema kuwa anasikitishwa na baadhi ya watendaji wanaokaa kimya pindi taarifa za...
  3. JamiiForums Tanzania Koplo mstaafu abubujikwa na furaha kukutana na Rais Samia. Ampa fimbo maalum Rais kwa ajili ya kuchapia wapinzani!

    Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima. Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…