WADAU wa Bandari wameishauri serikali kuruhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuendelea kukusanya tozo itokanayo na huduma za bandari (wharfage) kama ilivyo sehemu zote duniani.
Ushauri huo umetolewa wiki hii na wadau hao pamoja na wachumi, ikiwa ni miezi michache baada ya wabunge kutoa...