Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza...