Tanzania kwa sasa imekuwa ni nchi yenye matukio mengi sana, masuala ya ubakaji, watu kufa au kuugua bila taarifa, Afya kuwa ovyo n.k
Nchii hi msemaji mkuu ni Rais, kwanini usirudi utaratibu Rais wa nchi kuhutubia taifa kila mwezi?
Hii italeta dira ya nchi na taswira nzima na huenda hata...
Walau kulikuwa na baadhi ya mitazamo - ilikuwa inarekebishwa kwa jamii na kuwa mitazo + na ufafanuzi mingi walikuwa wanajaribu kurekebisha kupitia hotuba za mwisho wa mwezi