π‘ SAMIA HOUSING SCHEME: NDOTO INATIMIA! π
Kawe, Dar es Salaam inazidi kung'aa! π₯ Samia Housing Scheme, mradi wa makazi wa kisasa unaoleta mapinduzi ya ujenzi, sasa umefikia hatua kubwa β Uzio umekamilika, vyuma vya balcony vimesimikwa, na ujenzi umefikia asilimia 89! πποΈ
π Nyumba 560 za kisasa...