houth

  1. M

    Waasi wa Yemen (Houth) wakionyesha nguvu zao za kijeshi

    Hawa ndo wanajiandaa kuingia vitani na Israeli, wanataka tumia uzoefu wao wa kupambana na Saudi Arabia kuwasaidia Hamasi
  2. Obugwa Izoba

    Houth wanaupata moto sasa!

    Oil tanks burn at the port in Hodeidah, Yemen, Saturday, July 20, 2024. The Israeli army said it has struck several Houthi targets in western Yemen following a fatal drone attack by the group in Tel Aviv the previous day. (File photo: AP) Israel army says striking Houthi targets in Yemen The...
  3. Webabu

    Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

    Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel. Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya...
  4. Webabu

    Houth wadai kuidondosha ndege nyengine ya Marekani

    Ndege isiyokuwa na rubani inayogharimu dola milioni kadhaa za kimarekani imedondoshwa na wanamgambo wa Houth huko Yemen. Taarifa za kuangushwa kwa ndege hiyo ya upelelezi ya MQ-9 reaper bado hazijathibitishwa na Marekani.Hata hivyo jeshi la Marekani mapema leo limeendelea kuishambulia Yemen kwa...
  5. L

    USA,ISRAEL na UK special forces waliuliwa na Wa Houth baada ya Urusi kuwafichua expose

    Satellite za Urusi zilikua zina wazoom TU, makomando maalumu kabisa wa Marekani,Israel na uingereza wakipanga,mipango ya kwenda kupiga mission ya kibabe kabisa huko Yemen,wakitoka kwao ,wakiingia Yemen tayari kabisa kupiga shoo moja Kali sana,lakini kwa bahati mbaya warusi walishawaona kabla na...
  6. Webabu

    Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

    Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff. Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
  7. Webabu

    Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

    Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel. Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo...
  8. J

    Israel yawashushia Kitu kizito Houthi wa Yemen

    Imeripotiwa kuwa Israel imefanya shambulio la kimkakati kwa Magaidi wa Houthi Source BBC Taarifa zaidi zitakujia --- Israeli airstrikes targeted Houthi rebels in Yemen a day after the Iran-backed group claimed a deadly attack on the Israeli city of Tel Aviv. The...
  9. green rajab

    Wanamgambo wa Israel waunguzwa ndani Merkava Battle Tank

    Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu
  10. Webabu

    Houth na Hizbullah wamecharuka.Kila mmoja atoa silaha mpya.Israel yaonesha dalili kuwa wameishiwa na pumzi

    Wiki hii nzima Hizbullah wamekuwa wakirusha makombora mfululizo kuzipiga kambi za jeshi kaskazini ya Israel.Kinachoshangaza majibu ya makombora hayo yamekuwa hafifu sana kutoka kwa Israel ukiondoa yale ya kupiga gari na pikipiki zilizobeba baadhi ya makamanda wa Hizbullah. Miongoni mwa silaha...
  11. Webabu

    Houth wazindua kombora la Hypersonic liitwalo Palestine. Makombora aina hiyo wengine walio nayo ni Urusi na Iran tu. China na Marekani bado linawatesa

    Mnamo mwezi Machi Houth walitangaza kumiliki kombora la Hypersonic na baada ya hapo ikawa kimya. Hata hivyo hapo juzi wamelizindua kombora hilo ambalo limepewa jina la Palestine likiwa limepakwa rangi za kilemba cha kipalestina alichokuwa akivaa Yasser Arafat. Aina hiyo ya makombora mpaka sasa...
Back
Top Bottom