Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis wako mbioni kutoza ada kwa kila meli inayopita bahari nyekundu kwenye mlango bahari wa al-Mandab
Hayo yamesemwa na waziri wa Yemen (inayoungwa mkono na UN) kwamba wana "fununu" kuwa kundi la Houthis wako mbioni kutoza ada, na mpango kazi wote...