Mimi mpenzi sana wa movie za Kimagharibi, mara nyingi huwa nasikia kwenye scene ambapo mgeni kamtembelea mwenyeji, mwenyeji humuuliza mgeni hata kama ni Baba yake“ so how long are you staying?“ hilo swali nimelipenda sana, ikiwezekana uje Tanzania na tuutafsiri kwenye Kiswahili chetu, mgeni...