BALOZI HOYCE TEMU (PhD) AHITIMU SHAHADA YA UZAMIVU YA MAWASILIANO YA UMMA
Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1999 na ambaye kwa sasa ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Mashirika ya Kimataifa Geneva Uswisi, Mhe. Balozi Dkt. Hoyce Anderson Temu (PhD) amehitimu Shahada ya Uzamivu katika...
Hoyce Anderson Temu, aliyezaliwa Machi 1978 katika Hospitali ya Mount Meru mjini Arusha. Alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Matemboni Old Moshi mkoani Kilimanjaro na kuhamia Arusha katika shule ya Msingi Uhuru na baadaye kujiunga na Shule ya Sekondari Arusha, ambako alifanya...
Ndugu zangu,
Mnamo mwaka 1999 aliyekuwa Meneja wa Billcanas ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Chadema akimkabidhi tuzo mlimbwende Hoyce Temu ambaye kwa sasa ni Balozi mteule.
MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA
📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa mabalozi 23, miongoni mwa mabalozi wateule hao wamo Hoyce Temu( 43) aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1999, Togolani Mavura ambaye ni msaidizi wa Rais wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Macocha...
Mavula:
Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?
Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais...
Yupo Hoyce Temu, Mtangazaji na mjasiriamali.
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
NILIDHANI walioziacha fikra za Mwalimu ni viongozi wa CCM peke yao, kwa hakika nilikuwa nimekosea sana. Jumamosi iliyopita wakati Watanzania wengine walikuwa wanafurahia ushindi wa Taifa Stars dhidi ya The Cranes ya Uganda, kuna kundi la Watanzania waliokuwa wananungunika kwanini binti mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.