Habari wakuu
Katika pilika pilika za kutafuta ajira,nilijaribu kutuma maombi taasisi fulani ,mchakato wa maombi ulipokamilika nikapigiwa simu na hr nimekua selected hivyo niende kuonana naye.
Nilipofika ofisini kwake,akaniagiza siku inayofuata niende na watu watakao nidhamini niliitikia wito...