Financia hubs zinaza endeleza miji husika. Mipango mingi ya biashara hufanyika humo na wageni wanahitaji usafiri, malazi, chakula, kununua zawadi kwa wapendwa wao na hata nguo zinazoendana na hali ya hewa katika miji waliyofikia.
Huduma hizi zote huzalisha ajira, kuanzia tax, cafe, migahawa...