Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuongea moja kwa moja na mteja kupitia mfumo huo mpya wa mawasiliano.
Huduma hii inalenga...
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24.
Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
Mkoani Ruvuma kuna kijiji kinaitwa mlilayoyo ambacho kipo wilaya ya Namtumbo kihuduma za kiserikali. Lakini cha ajabu kutoka hapo kijijini kuelekea Mamtumbo hqkuna gari ya kwenda halmashauri ya wilaya kupata huduma kwahiyo watu hawa wanazunguka manispaa ya Songea ndipo waende kupata huduma za...
Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo linarahisisha miamala kwa biashara na watu binafsi...
Naomba msaada kwa Tanzania Benki gani inatoa huduma hii ya Recurring Depost?
Nimejaribu kutafuta maelezo kwenye mtandao sijapata.
Nahitaji sana hii huduma
Nimesafiri na mabasi kampuni kadhaa ambazo sitazitaja Kwa majina ili kutochafua biashara zao
Nimejihakikishia kwamba Kwa Hapa nyumbani ustaarabu wa kutumia vyoo ndani basi gari likiwa safarini Bado hatuwezi tukubali tu
Ni heri ukasafiri na bus lisilo na choo ndani kuliko kulipa pesa nyingi ya...
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria, inadaiwa haifanyi kazi wiki ya pili sasa, Mamlaka mbona mpo kimya?
MAELEZO YA KAMPUNI YA MELI...
Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
Habari waungwana
Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia.
Naomba kuwasilisha.
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano.
Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi:
Kusoma alichoandika...
Kwa gharama nafuu ya Tsh.500/= kwa Ukurasa / Page, kazi yako ya nitaifanya kwa haraka, umakini na weledi, kwa kuzingatia usiri (Confidentiality)
Procedure/Maelekezo
Tutawasiliana kupitia. Namba 0623066006 (piga/whatsapp)
Kisha utanipa maelekezo ya kazi yako (mf. Ripoti / Mitihani iliyoandikwa...
Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia bima ya afya ya umma. Mfano, ikiwa kila raia atachangia TZS 2,000 kwa mwezi, makadirio yanaonyesha...
Hizi siku tatiu
NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas
Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion
Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom
Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida
Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA.
Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi.
Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida.
Kuna taasisi ambazo, wafanyakazi walikimbia na kwenda mikoa au nchi jirani, wengine wakienda Kinshasa jijini. Baada tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.