Nimehudumiwa mara mbili katika Kituo cha Afya Halmashauri ya Mji Tunduma maarufu kwa jina "Serikalini" Kata ya Majengo ambapo walilazimisha nitoe gharama za kumuona daktari licha ya kuwa mgonjwa alikuwa ni mtoto mdogo wa miezi 9 tu.
Nililazimika pia kugharamikia vipimo pamoja na dawa ambazo...