huduma dawasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Kimara maji ya DAWASA yananuka

    Habarini. Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli. Aisee maji yananuka, sijui huko kwenu, yaan yananuka bila hata kuyanusa, yanatoa harufu flani ivi kama maji ya bahari, ukiingia...
  2. Kuna taasisi ya Serikali inaizidi DAWASA kwa huduma mbovu?

    Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri hawalipwi mishahara. Kama hamtaki kutuhudumia si mseme, mnakera kweli. Pia soma: Baadhi ya Taasisi za...
  3. DAWASA: Kuendelea kwa matengenezo ya umeme katika mitambo ya maji ya Ruvu juu na Ruvu chini

    TAARIFA KWA UMMA KUENDELEA KWA MATENGENEZO YA UMEME KATIKA MITAMBO YA RUVU JUU NA RUVU CHINI 23.6.2024 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wa Dar es salaam na Pwani wanaohudumiwa na Mitambo ya kuzalisha maji Ruvu Juu na Ruvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…