Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.
Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.
Kama taifa hatuwezi kuwa...
Nashangaa mnaowasakama wajawazkto na kusema wanajidekeza sijui wajifunze kuchagia huduma, wapuuzi kabisa!
Huwa hamuoni mabilioni ya pesa yanavyotafunwa na kuripotowa kila mwaka lakini hakuna hatua inayochokuliwa? Kwani hamjui kama hizo ni kodi zetu na ndio wanasababisha huduma kuzorota?
Pia...
Ifike mahali wananchi waache kulialia na kuhitaji kila kitu bure. Hii nchi bado inajitafuta na hata kama tutajipata hatutaweza fikia azma ya kutoa huduma za afya bure.
Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali kadhaa wa kadhaa hasa hizi za wilaya zina kufa kwa sababu ya utoaji wa huduma bure kupita...
Naona kuna watu wanajaribu kutwist uhalisia wa mambo yalivyo mahospitalini kutokana na aliyoongea mkuu wa mkoa wa Dar, Mhe. Chalamila.
Ila huo ndiyo uhalisia wa mambo ulivyo kwenye mahospitali yote ya umma kuanzia dispensari mpaka hospitali ya taifa.
Zile huduma wanazohubiri wanasiasa kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.