Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika.
Mfano kuna mtu aliambiwa na mtumishi mmoja wa hapo “Wewe chizi nini! Kwani umezaa na baba yako...?” Kisa...
Wadau tusaidieni tuko mkoani tunataka kupiga simu NHIF, walitupatia namba ya msaada 199 ila tukipiga hiyo namba ya msaada haipatikani kabisa. Watusaidie hata namba nyingine basi ya msaada kama hiyo namba hawaitumii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.