huduma mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na tuhuma za kumtukana matusi wateja waliokwenda kupata huduma za mafuta, akiwemo mtumishi kutoka ofisi...
  2. R

    KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  3. A

    DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba...
  4. Jerry Farms

    Kero: Huduma mbovu Ofisi ya TANESCO Kahama.

    Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo. Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423 TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
  5. Black Butterfly

    KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  6. Torra Siabba

    DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  7. Nelson Kileo

    Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
  8. M

    Platinum Credit ni kampuni yenye huduma mbovu na zisizofaa. Walimu tunakopa kwa sababu ya shida tu.

    Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
  9. Paul dybala

    KERO Huduma mbovu ya vyoo coco beach

    Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti itolewayo kwa huduma.
  10. Cute Wife

    Kwahiyo Mchengerwa wananchi wakitumia huduma mbovu ni sawa ila wakimpatia huduma hizo kiongozi ni Uhalifu?

    Wakuu, Mchengerwa OR TAMISEMI ameng'aka huko kuwa wananchi wachukuliwe hatua ikiwa watafanya kilichotokea chuga - wa Chuga waliwapitisha viongozi kwenye matope waone adha wanayopitia. Sasa kama hilo umeliita uhalifu, hauoni kama wewe Mchengerwa OR TAMISEMI na viongozi wako ndio wahalifu...
  11. JanguKamaJangu

    KERO Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa kujuana

    Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi hawajali sana kuhusu ‘customer care’. Nilifika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya...
  12. WENYELE

    Huduma mbovu mabasi ya Kilimanjaro Bus

    Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari yamechakaa machafu, hawazingatii muda na wanalipisha gharama kubwa sana. Mfano km leo nilikua nimekata...
  13. A

    KERO Kuna uzembe mkubwa utoaji huduma Hospitali ya wilaya ya Chato (DH), mamlaka zifike kufanya uchunguzi

    Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za hospitali, ndipo nikapatiwa dawa. Mnaweza mkawa mpo kwenye foleni na hakuna anayejali, utakuta mtu...
  14. Eli Cohen

    Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, ningependa kuwaambia CRDB Bank kuwa wana huduma mbovu kwa wateja

    Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu. Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel. Mikopo...
  15. Girland

    Kuna taasisi ya Serikali inaizidi DAWASA kwa huduma mbovu?

    Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri hawalipwi mishahara. Kama hamtaki kutuhudumia si mseme, mnakera kweli. Pia soma: Baadhi ya Taasisi za...
  16. Ngongo

    NMB - Arusha Business Center huduma mbovu

    Heshima sana wana jamvi, NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa. Huduma za CRDB Premier zipo vizuri ukienda pale kama mtu wa level iliyokusudiwa wanakuelekeza tawi lingine. Huduma ya...
  17. P

    Baadhi ya Taasisi za Serikali zimekaa kiupigaji zaidi badala ya kutoa huduma bora kwa wananchi

    Kwanza nianze kwa kukiri kwamba watanzania ni watu wanaojituma sana kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kujipatia maendeleo. Ila inasikitisha kuwa jitihada za watanzania wengi zinazimishwa na watu wachache wanaoanzisha taasisi au mifuko kwa lengo la kujineemesha kwa kutumia pesa za wananchi...
  18. BLACK MOVEMENT

    Wananchi kuendelea kuchangia maendeleo kunawapa kiburi watawala kuendelea kutumia vibaya pesa za umma

    Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri. Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy? Mkuu wa Mkoa anaweza vipi tatua tatizo la aJira Mkoami kwake? Ana bajeti? Ni vipi huduma mbovu za Afya ziatatuliwa...
  19. A

    KERO Huduma mbovu za Benki ya ABC unapoomba mkopo

    Kero Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu, Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara. Naomba kufikisha/ kusema/ kuwasilisha kero yangu kutoka mojawapo ya kampuni ya kifedha (African corporation Bank,ABC) inayotoa...
  20. Black Opal

    Pre GE2025 Kuzorota kwa Huduma/Shirika gani litakufanya usiipigie tena kura CCM?

    Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote. 2. Ya pili ni...
Back
Top Bottom