Habari,
Kituo cha Kibamba wahudumu pale ni kero kubwa wana majibu ovyo, imeshakuwa kero kubwa itafikia hatua wananchi watajichukulia sheria mkononi.
Pia Dada anayekatisha tiketi ukidai Tsh 50 chenji anasema hana na ndio kinara wa kutoa majibu.
Tunaomba uongozi wa DART Mwendokasi mfanyie kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.