Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali.
Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
Habari wadau? Leo nilifika kwenye eneo lililochangamka ghafla kwa usafiri wa mabasi ya kwenda nje ya Dar es Salaam, pale Shekilango-Ubungo.
Safari yangu pale ilikuwa kusafirisha mzigo kwenda mkoa mmoja uliyopo Kanda ya Ziwa.
Nikiwa naendelea kuhudumiwa, nilishangaa namna mabasi yalivyo mengi...
Mwezi huu oktoba ni mwezi wa huduma kwa wateja, ndani ya wiki hii zimeshuhudiwa taasisi nyingi zikiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Huduma kwa Wateja ni sherehe ya kimataifa ya umuhimu wa huduma kwa wateja na ya watu wanaohudumia na kusaidia wateja kila siku . Wiki ya Huduma kwa Wateja...
Customer service au huduma kwa mteja ni sehemu nyeti sana ya biashara yoyote duniani, ni kioo cha mwanzo cha biashara iwe inafanya kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kuna baadhi ya makampuni ili wakupatie ajira basi lazma uwe na vigezo kama uso usio na chunusi, uso nyororo na mwenye umbo namba nane...
Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka mtu unajuta wakati pesa ni zako na umezitafuta kwa jasho.
Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe...
Habari wana jamii,
Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana.
Naombeni ushauri tatizo...
Binafsi niwashukuru sana MWAUWASA kwa kurudisha huduma ya maji ambayo ni endelevu kwa sasa kwa maeneo mengi Jijini Mwanza.
Hongereni sana.
Mjitahidi kuwa na huduma ambayo ni endelevu kwa maeneo mengi jijini Mwanza ili wananchi tuwe na imani na Mamlaka yetu.
Asanteni sana.
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu.
Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
1. Elewa hitaji la mteja
Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia.
2. Jitosheleze kihuduma
Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini.
Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni.
Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa...
Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana.
Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
Habari zenu wakuu,
Nlikuwa na mzigo natakiwa nitume nnje, option yangu ya kwanza ilikuwa nitume na DHL lakini kunasiku kwenye mishe zangu nikapita mahali nikaona office za Posta nikashawishika kuingia na kufanya udadisi wa huduma zao.
Yule dada wa posta akanambia wanahuduma ya EMS inafanya...