CCM Kwa katiba iliyopo bado mtaiba kura na mgombea wenu atapita. Ushauri wangu kuwenu serious basi badilisheni gia angani huyu mama akacheze na wajukuu Kizimkazi, hali siyo kabisa serikalini. Magufuli sikuwahi kumpenda lakini kusimamia utendaji wa serikali alikuwa very smart pamoja na madhaifu...
Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.