DKT. NDUGULILE AKAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA HUDUMA PAMOJA
* Waziri Mkuu Majaliwa kuwa Mgeni Rasmi, Septemba 6
Na Prisca Ulomi, Rachel Kitinya ná Loema Joseph
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile, amekagua maandalizi ya uzinduzi wa Huduma Pamoja...