Wakuu,
Wengi wamekuwa wakilalamika kuombwa rushwa ili waweze kupata huduma nzuri sehemu mbalimbali wanazokuwa wanajitaji huduma fulani, na ikitokea hujatoa basiutazungushwa sana mpaka mwenyewe uingie mfukoni kupaka mafuta vyuma ili mambo yaende. Baadhi wanasema kama hujawahi kuombwa rushwa...