huduma tigo pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    YAS kiboko, matatizo kibao katika huduma zao

    1. Badhi ya namba unajibiwa namba unayopiga umekosea chunguza tena, inawezekana ya mumeo au mkeo. 2. Ukitaka kuunganisha YAS pesa unaabiwa bad connection or wrong MMI 3. Ukitaka kujiunga bando, mtandao unakatika. Kweli huuu mtandao KIBOKO, siku 2 mambo yamekuwa moto moto
  2. S

    tiGO wana shida za mara kwa mara, tatizo ni nini? Toka saa moja jioni tiGO Pesa haipatikani

    Kwa kifupi nakareka sana na huduma za huu mtandao. Mtandao haumalizagi mwezi lazima hitilafu itokee tukose baadhi ya huduma. Mfano nipo hapa tangu saa moja jioni, TIGO PESA haifanyi kazi. Unakuta mtu ulikuwa na mambo yako ya msingi ya kufanya lakini unapata hasara kwa sababu ya huu kila mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…