huduma vivuko kigamboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. learn

    Vivuko vimekuwa kero, wanatoa taarifa za ghafla kuwa hamna huduma

    Jana usku unafika kivukoni unapewa taarifa kuwa hamna huduma utumie njia mbadala! Una tumia 5K nauli kurud home tu! Hii ni kero mno kma wameshndwa wampe mtu anayejiweza #tumechoka PIA SOMA - Abiria tunaovuka Kivuko cha Kigamboni leo ni kero tupu, kivuko kimoja tu ndio kinafanya kazi -...
  2. J

    Waziri Bashungwa: Upotoshaji wa vivuko Kigamboni una maslahi binafsi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) nakueleza kuwa imetengenezwa na watu wenye maslahi binafsi. Ameyasema...
Back
Top Bottom