Brela
BRELA Niwaite Hapa Tuongee:
Kuna katabia kenu ambapo mteja akipiga simu ambayo inahusisha Tatizo la kimfumo Agents wenu wanamwambia kwamba wanamuunga na watu wa Tekniko au sijui ndo IT halafu hio simu ya hao IT ama inaita haipokelewi au haiiti kabisa halafu na tatizo wala hamliripoti...