Kama kuna mtu mwenye Ilani ya chama cha Mapinduzi 2020 hadi 2025 atusaidie kufahamu kama ipo ahadi yakutoa huduma ya afya bure kwa mama na mtoto.
Kama ilikuwa ahadi maana yake haijatekelezwa na kama haikuwa ahadi hatuwezi kumuhukumu Chalamila. Labda tupendekeze iwe kwenye ilani za vyama 2025...
Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa.
Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu...
Wote mnaodhani wanaompinga SSH hawampendi mnakosea sana hata mie nilidhani hivyo mwanzo mpaka yaliponikuta.
Nimelazwa hospitali ya wilaya mkoa mmoja huku kanda ya ziwa sijaamini macho yangu kama ni mimi mtumishi ninafanyiwa hivi embu imagine hospitali madaktari na manesi wanajifanyia kazi kwa...
HABARI YA MJINI KWASASA NI MSOGA MARATHON, KUUNGURUMA JUMAMOSI HII JUNI 29 ILI KWENDA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO
💥Usajili wake unaendelea nchi nzima, Zoezi la Ugawaji Vifaa kwa ajili ya kukimbia na Msoga Marathon linaendelea
💥Jisajili sasa upate vifaa vyako ili Jumamosi tukate...
🌐Utangulizi, Mafanikio katika sekta ya Afya katika kukabiliana na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto kumepelekea baadhi ya mataifa mengine ya Afrika kuja kujifunza nchini.
Hayo yalisemwa na katibu mkuu wizara ya Afya Dkt.John Jingu tarehe 22 Februari, 2024 jijini Dodoma...
Wakuu salama?
Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa...
ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024 tulishuhudia mivutano mikali kati ya Serikali na watoa huduma za afya binafsi (Vituo binafsi)...
By Godlisten Malisa
Kuanzia tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za afya nchini vimekubaliana kutokupokea wateja wa NHIF. Maana yake ni kwamba wagonjwa wanaotibiwa kwa NHIF wako hatarini kukosa huduma. Kumbuka, takwimu zinaonesha zaidi ya 80% ya wagonjwa mahospitalini ni wanachama wa...
Habari JF,
Kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili .
Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa...
Watanzania tumetawaliwa na wazawa kwa lugha rahisi ni CCM ambao wametuzoea kila kila jambo sababu wao wameshika mpini na jembe.
Swala la huduma za afya Tanzania ilitakiwa kuwa ndogo sana kwenye mifumo ya bima zake na sio lenye nguvu kama linavotumika.
Mtanzania mmoja akilipa 5000 kwa mwezi...
Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote'
Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani.
=======
A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
UTANGULIZI
HUDUMA YA AFYA YA AWALI; Ni mtazamo wa jamii nzima ambao unalenga katika kuhakikisha huduma za afya zilizo bora zinatolewa na kwa jamii nzima kwa usawa na kujali mahitaji ya wanajamii nzima. Hii inajikita katika utoaji wa huduma za kafya za kibinafsi zinazotolewa kwa mara ya kwanza...
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita.
Ukweli juu ya tafiti hiyo unathibitishwa kupitia ujenzi na ukarabati wa...
Wakuu habari za wakati huu, natamani sana kujua ABCs za kuanzisha kituo Cha Afya Cha binafsi.
Je ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia?
Je, Kuna mtu anaweza ku-share experience namna ya kukiendesha kwa faida?
Natanguliza shukrani sana
Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe.
Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19.
Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya Mh. Rais
Ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.