šUtangulizi, Mafanikio katika sekta ya Afya katika kukabiliana na kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto kumepelekea baadhi ya mataifa mengine ya Afrika kuja kujifunza nchini.
Hayo yalisemwa na katibu mkuu wizara ya Afya Dkt.John Jingu tarehe 22 Februari, 2024 jijini Dodoma...