Wakuu,
Hata nguvu ya kutoa salam leo sina!
Nikaona tangazo huko Instagram mgahawa umepambwa, vyakula vinavutia, wakisema kuna bufee ambalo haliishi chakula mpaka saa nne.
Nikajibeba na swaum yangu huyoo, foleni leo ilikuwa si ya kitoto njia ya chini huku Mbezi, hadi nimefika ni saa mbili...