huduma ya choo stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idimi

    KERO Vyoo kituo cha mabasi Mpemba Tunduma ni vibovu, wahusika rekebisheni

    Kituo cha mabasi cha Mpemba, kilichopo nje kidogo ya mji wa Tunduma mkoani Songwe kina vyoo vibovu na vinatia kinyaa na aibu. Kati ya vyoo vya haja ndogo 10, vitatu tu ndivyo vizima, vingine vyote 7 aidha vimepasuka ama vibovu na vimezibwa kwa maboksi. Kituo hiki, mbali na kutumika na sisi...
Back
Top Bottom